Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
spam
Mstari 49:
Muundo wa sayari ni tofauti; kuna vikundi kulingana na [[mata]] inayojenga sayari:
* '''Sayari za mwamba''': sayari hizi zina muundo unaofanana na dunia yetu; [[asilimia]] kubwa ya masi ni [[mwamba]]. Hizi ni sayari za ndani za mfumo wa jua letu. Zote ni ndogo kuliko sayari za nje.
* '''Sayari jitu za gesi''': sayari hizi kama Mshtarii (Jupiter) na Zohali (Saturnus) ni kubwa na zimefanywa na [[hidrojeni]] na [[heli]]. Masi ya Mshtarii ni mara 318 ile ya dunia, Zohali mara 95. Ilhali sayari hizi ni [[baridi]] kutokana na umbali mkubwa na jua, hidrojeni inapatikana kwa kiasi kikubwa katika hali [[mangumango]] na kwenye sehemu za ndani hidrojeni ina tabia kama [[metali]] kutokana na shinikizo kubwa.
* '''Sayari jitu za barafu''': hizi ni Uranus na Neptun. Ni kubwa kuliko dunia, lakini si kama sayari jitu za gesi; Uranus huwa na masi 14 za dunia, Neptun na masi 17 za dunia. [[Ganda]] la nje ni mchanganyiko wa hidrojeni na [[methani]], na sehemu za ndani ni [[barafu]] ya maji na methani.