Chuo Kikuu Huria cha Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Watu maarufu waliohitimu chuoni: nimefanya mabadiliko kidogo ya taarifa
d Nimefanya mabadiliko za mhusika katika chapisho hili
Mstari 1:
[[Picha:Out Logo.jpg|thumb|Nembo ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT)]]
'''Chuo Kikuu Huria cha Tanzania''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Open University of Tanzania'') ni [[chuo kikuu]] kinachotoa [[kozi]] za [[cheti]], [[stashahada]] na [[shahada]] kupita [[masomo ya mbali]] (Distance Learning). [[Makao makuu]] yako [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]].