Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 147:
Utaratibu ufuatao umekubaliwa kati ya wakabidhi waliopo (tazama ukurasa wa majadiliano)
::a) '''Mpiga kura''' awe aliyewahi kuandikishwa tangu mwezi 1 (hatutaki waliojiandikisha jana kwa kumpigia kura rafiki leo)
::b) aliyewahi kuhariri makala 3 kwenye swwiki (nje ya ukurasa wake mwenyewe; hatukubali watu walioingia kwahaitoshi kutunga/kusahihisha makala 1-2 pekee)
::c) aliyehariri katika miezi 12 kabla ya kura yetu