Ghorofa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Ghorofa" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
Mstari 12:
 
== Jinsi ya kuhesabu ==
[[Namba|Nambari]] ya ghorofa huhesabiwa kutumia mfumo wa kuhesabu ghorofa.
* Mfumo mmoja mkuu ni ule unaotumika [[Ulaya|Uropa]] pamoja na Uhindi na nchi kadhaa zilizokuwa koloni za Uingereza au Ufaransa ambao huhesabu sakafu ya chini (inayogusa [[Nchi kavu|ardhi]]) kama nambari 0 au 'G' (ground floor) na sakafu zilizo juu yake kuhesabiwa kutoka nambari 1 kwenda juu.
* Ule mwingine unatumika [[Marekani]] na, [[Kanada]] na sehemu za Asia ambapo huhesabu nambari ya sakafu kutoka inayogusa ardhi.<ref>[https://books.google.com/books?id=lTCpFszJc5sC&pg=PA313#v=onepage&q&f=false Rick Steves' Europe through the back door 2011]</ref>
 
== Vitufe vya Lifti ==