Kimbunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Tufani umesogezwa hapa Kimbunga: ni jina la kawaida zaidi Uswahilini; taz., ukurasa wa majailiano
No edit summary
Mstari 1:
<cventer>''Kwa lugha ya Kimbunga tazama [[Kimbunga (lugha)]]''</center>
[[Image:Hurricane Katrina August 28 2005 NASA.jpg|thumb|right|Kimbunga ya "Katrina" juu ya Ghuba ya Meksiko - picha kutoka [[chombo cha angani]] tar. 28 Agosti 2005]]
 
'''Kimbunga''' ni [[dhoruba]] kali inayoanza juu ya [[bahari]] katika maeneo ya [[tropiki]] yenye [[upepo]] mwenye kasi ya zaidi ya 117 [[km/h]]. Kimbunga ni dhoruba aina ya [[tufani]].
 
Inaanza juu ya bahari ya kitropiki penye maji yenye halijoto juu ya 26 [[°C]]. Hewa joto yenye [[mvuke]] nyingi inaanza kupanda juu na kuzunguka. Mzunguko huo unaongezeka kasi kuwa dhoruba. Kasi ikifikia mwendo wa 117 km/h inaitwa kimbunga.