Kilomita kwa saa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|250px|Mita hii katika gari ni tayari kuonyesha kasi kwa km/h '''Km/h''' ni kifupi cha "'''Kilomita kwa saa'''" ni kipimo cha kasi. '''Km''' pekee yake ni k...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Speedo angle.jpg|thumb|250px|Mita hii katika gari ni tayari kuonyesha kasi kwa km/h]]
'''Km/h''' ni kifupi cha "'''Kilomita kwa saa'''" ni kipimo cha [[kasi]]. '''Km''' pekee yake ni kifupi cha [[kilomita]] na '''h''' ni kifupi cha [[saa]] ''([[Kilat.]] hora > [[kiing.]] hour)''.
 
Kitu chenye mwendokasi waya 1 km/h kinatembea kilomita moja katika muda wa saa moja. Mwanadamu kwa mwendo wa wastani anatembea kwa 5 km/h yaani katika muda wa saa moja anatembea kilomita moja. Kwa kutumia baisikeli kwa kasi ya wastani mtu hutembea kwa 15 km/h hadi 20 km/h. Magari yanaruhusiwa kutembea kwa 50km/h mjini na 80 hadi 100 km/h nje ya miji.
 
Kipimo cha [[SI]] kwa kasi ni [[m/s]] yaani mita kwa sekunde lakini hakitumiki sana kwa sababu katika maisha ya kila siku watu hawataki kujua mwendo wao kwa kila sekunde.
 
==Viungo vya Nje==