Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimetoa maoni yangu kuhusu Wakabidhi
→‎Maoni yangu: mjadala mpya
Mstari 41:
:::Baba Tabita aliniandikia baruapepe (kwa Kijerumani) akiomba tumwondoe katika orodha ya wakabidhi. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:06, 31 Agosti 2020 (UTC)
::::Habarini ndugu wakabidhi wenzangu.Nami pia nakubali kuendelea na ukabidhi.Nampongeza [[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] kwa kuendesha zoezi hili vizuri.Zaidi ya hayo nakubaliana na mapendekezo ya Kipala kuhusu kusitisha au kufuta wakabidhi kwa sababu ni mapendekezo ambayo hayajambana sana mtu, iwapo hakuwepo kwa mwaka mmoja kwa sababu mbalimbali, bado ana nafasi ya kuomba kurudi. Mwisho niwapongeze wakabidhi wote kwa kazi kubwa mnayoifanya ili kuijenga Wikipedia ya Kiswahili. Asanteni.--'''[[Mtumiaji:Jadnapac|Jadnapac]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Jadnapac|majadiliano]])''' 13:06, 4 Septemba 2020 (UTC)
 
== Maoni yangu ==
 
chaguo lote ni sawa kwani wakabidhi ambao hawajatumia swwiki kwa muda watafutwa na pia wakabidhi ambao wamefikia kiwango cha kuwa wakabidhi wanapewa cheo cha kuwa mkabidhi
Return to the project page "Wakabidhi".