Mwendamaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Badiliko la jina
Mstari 1:
{{Uainishaji
| rangi = pink
| jina = Mtembeaji-majiMwendamaji
| picha = Gerris.thoracicus.-.lindsey.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Mtembeaji-majiMwendamaji (''Gerris thoracicus'')
| himaya = [[Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Arthropoda]] <small>(Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)</small>
Mstari 29:
* [[Trepobatinae]]
}}
'''WatembeajiWendamaji''' au '''watembeaji-maji''' ni [[wadudu]] wadogo hadi wakubwa kiasi wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Gerridae]] katika [[oda ya chini]] [[Gerromorpha]] ya [[oda]] [[Hemiptera]] na [[nusungeli]] [[Pterygota]] (wenye [[mabawa]]) ambao hutembea juu ya [[maji]] na kujilisha kwa wadudu walioanguka majini au wanaokuja usoni kwa maji ili kupumua (k.m. [[lava]] wa [[mbu]]).
 
Takriban [[spishi]] zote zinatokea juu ya maji baridi lakini spishi fulani katika [[jenasi]] ''[[Asclepios]]'', ''[[Halobates]]'' na ''[[Stenobates]]'' huishi juu ya maji ya [[bahari]] ([[kunguni-bahari]]). Hata katika familia za [[Hermatobatidae]] na [[Veliidae]] kuna spishi kadhaa kama hizi. Kwa kawaida hukaa karibu na [[pwaa]] lakini spishi tano za ''Halobates'' huishi mbali na pwaa kwenye bahari wazi. Hawa ni wadudu pekee wa [[makazi (ekolojia)|makazi]] haya.
 
==Maelezo==
Watembeaji-majiWendamaji wana mwili uliorefuka na [[mguu|miguu]] mirefu ya kati na ya nyuma. Sifa nyingine ni [[ukucha|kucha]] nyuma ya ncha za miguu zinazoweza kukunjwa na [[nywele]] za kukwepa maji. Nywele hizo ni ndogo sana na zina [[msongamano]] wa zaidi ya elfu moja kwa [[mm]]. [[Mwili]] mzima umefunikwa na nywele, ambayo inapatia mtembeaji-majimwendamaji mkinzano dhidi ya kurusha au matone ya maji. Kwa kuwa nywele hufukuza maji, huzuia matone kwa kuelemea mwili.
 
Wadudu hao kwa ujumla ni wadogo wenye miguu mirefu na urefu wa mwili wa spishi nyingi ni kati ya mm 2 hadi 12. Wachache ni kati ya mm 12 na 25. Spishi moja, ''Gigantometra gigas'', ya [[mto|mito]] kwenye kaskazini kwa [[Vietnam]] na kusini tangamani kwa [[Uchina]], isiyojulikana sana, inaweza kufikia mm 36 na kuwa na miguu ya kati na ya nyuma ambayo inazidi [[sm]] 10 kila mmoja. Baina ya jenasi zilizoenea, ''Aquarius'' ina spishi kubwa zaidi ambazo kwa ujumla huzidi mm 12, angalau majike, na spishi kubwa kabisa ni mm 24 kwa wastani. Kwa kawaida majike huwa wakubwa kwa wastani kuliko madume wa spishi zao, lakini inaonekana kugeuzwa katika ''Gigantometra gigas'', ambayo kwa kawaida hufikia urefu wa mwili wa mm 36 kwa madume wasio na [[bawa|mabawa]] na mm 32 kwa majike wenye mabawa (madume wenye mabawa, hata hivyo, ni wakubwa kidogo tu kwa wastani kuliko majike).
 
Watembeaji-majiWendsmaji wana [[kipapasio|vipapasio]] vyenye [[pingili]] nne kila kimoja. Pingili hizi zinahesabiwa kutoka karibu na [[kichwa]] hadi ncha. Pingili ya tatu ina nywele fupi na ngumu. Kulingana urefu wa pingili za vipapasio kunaweza kusaidia kutambua spishi za kipekee ndani ya familia Gerridae, lakini kwa kawaida pingili ya kwanza ni ndefu na nene kuliko zile tatu nyingine. Pingili nne zilizojumuishwa sio ndefu kuliko urefu wa kichwa kwa kawaida.
 
[[Kidari]] cha watembeaji-majiwendamaji kwa ujumla ni kirefu na chembamba. Mara nyingi urefu wake ni kutoka mm 1.6 hadi 3.6 baina ya spishi zote na miili fulani ni ya [[mcheduara]] au ya [[mviringo]] zaidi kuliko mingine. [[Pronoto]] inaweza kung'aa au la kulingana na spishi na kufunikwa kwa nywele ndogo sana ili kusaidia kukwepa maji. [[Fumbatio]] ina pingili kadhaa na kuwa na [[metasterno]] yenye vidomo vya [[tezi]] ya [[harufu]].
 
Miguu ya mbele ni mifupi na ina kucha zilizotoholewa ili kutoboa [[mbuawa]]. Miguu ya kati ni mirefu kuliko jozi ya kwanza lakini mifupi kuliko ile ya mwisho. Imetoholewa kwa kujisogeza juu ya maji. Miguu ya nyuma ni mirefu kuliko yote mingine na hutumika ili kutanda uzito wa mdudu kwenye eneo kubwa la uso wa maji na pia kuendesha mdudu kupitia uso wa maji. Miguu ya mbele imeunganishwa karibu na [[jico|macho]] lakini miguu ya kati ni karibu zaidi na ile ya nyuma iliyopo katikati ya kidari na kuenda mpaka nyuma ya ncha ya fumbatio.