Mdudu Mabawa-nusu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
dNo edit summary
Mstari 18:
* [[Sternorrhyncha]] (Vidukari, vidung'ata n.k.)
}}
'''Wadudu mabawa-nusu''' ni [[wadudu]] wadogo sana hadi wakubwa kiasi wa [[oda]] [[Hemiptera]] katika [[nusungeli]] [[Pterygota]] (wenye [[bawa|mabawa]]). Jina ni tafsiri ya jina la kisayansi. Wadudu hawa wanajulikana sana kama [[kunguni]], [[kunguni-mgunda]], [[kidukari|vidukari]], [[kidung'ata|vidung'ata]], [[nzi mweupe|nzi weupe]], [[mdudu-gamba|wadudu-gamba]] na [[nyenje-miti]] k.m. Familia kadhaa zina [[spishi]] zinazoishi majini, kama [[nge-maji]], [[mwogeleaji-mgongonijuuchini|waogeleaji-mgongonijuuchini]] na [[mwendamaji|wendamaji]]. Spishi za ''[[Halobates]]'' huenda juu ya maji ya [[bahari]] na hizi ni wadudu pekee wanaoishi baharini.
 
Katika [[spishi]] nyingi sehemu ya mbele ya mabawa ya mbele ya wadudu hawa ni ngumu na sehemu ya nyuma ni [[kiwambo]]. Mabawa yakiwa yamekunjwa yanalala bapa na kufunika [[fumbatio]]. Mabawa ya nyuma ni kama viwambo. Katika spishi nyingine jozi zote mbili za mabawa ni kama viwambo na mara nyingi yakiwa yamekunjwa yanakaa kama [[paa]] la [[nyumba]]. Pengine mabawa yana [[unyoya|manyoya]] (k.m. [[Nzi Mweupe|nzi weupe]]).