Astana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Nur-Sultan at the evening (cropped).jpg #WPWP #WPWPTZ
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Nur-Sultan at the evening (cropped).jpg|thumbnail|right|280px|Sehemu ya Mji wa Nursultan.]]
 
 
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Nursultan
Line 19 ⟶ 17:
 
==Jina==
Mji uliitwa kwa [[jina]] "Akmola" ukateuliwa mwaka [[1997]] kuwa mji mkuu badala ya [[Almaty]]. Jina jipya la "Astana" lilimaanisha "mji mkuu". Uhamisho wa mji mkuu umesababishwa na nia ya kupeleka [[makao makuu]] ya [[serikali]] katika [[moyo]] wa nchi ilhali Almaty iko kando kabisa, mpakani mwa [[Kirgizia]].

Mwaka [[2019]] jina limebadilishwa tena kuwa Nursultan kwa [[heshima]] ya [[rais]] mstaafu [[Nursultan Nazarbayev]].
 
{{Mbegu-jio-Asia}}