Teknolojia ya habari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 142.227.239.229 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:2005ICT.PNG|thumb|270px|Taarifa ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano katika mwaka wa 2005]]
'''Teknolojia ya habari na mawasiliano''' ([[kifupi]]: TEHAMA; kwa [[Kiingereza]]: ''information technology'', [[kifupi]]: '''IT'''), kama ilivyoainiwa na Shirikisho la Teknolojia ya Habari ya [[Marekani]] ([[ITAA]]), ni "[[utafiti]], urasimu, uendeleshaji, utekelezaji, usaidizi au usimamizi wa [[mifumo ya habari]], hasa ala za [[programu]] na [[vifaa]] vya [[kompyuta]]." <ref>[http://www.itaa.org/es/docs/Information%20Technology%20Definitions.pdf ITAA.org], p30, Iliangaliwa 3 Machi 2008</ref> IT inahusika na matumizi ya kompyuta zitumiazo [[umeme]] na [[programu za kompyuta]] kubadili, kuhifadhi, kulinda, kuchecheta, kueneza na [[usalama katika kupokea habari]].
 
TEHAMA inahusika na matumizi ya [[kompyuta]] na [[programu za kompyuta]]: kubadili, kuhifadhi, kulinda, kuchecheta, kueneza na [[usalama katika kupokea habari]].
Leo, neno ''habari'' limezunguka nyanja nyingi za kompyuta na [[teknolojia]], na neno hili limekuwa maarufu sana. [[Wataalamu]] wa IT hutekeleza jukumu mbalimbali kutoka kuweka ala hadi kubuni [[mitandao tata ya kompyuta]] na [[hifadhidata]]. Machache kati ya majukumu ya wataalamu wa IT ni kufanya [[usimamizi wa data]], kujumuisha kompyuta ili kutengeneza [[mtandao]], [[uhandisi wa hifadhidata]] na programu na vilevile usimamizi na utawala wa mfumo mzima.
 
Leo, [[neno]] ''habari'' limezunguka nyanja nyingi za kompyuta na [[teknolojia]], na neno hili limekuwa maarufu sana. [[Wataalamu]] wa ITTEHAMA hutekeleza [[jukumu|majukumu]] mbalimbali kutoka kuweka ala hadi kubuni [[mitandao tata ya kompyuta]] na [[hifadhidata]]. Machache kati ya majukumu ya wataalamu wa ITTEHAMA ni kufanya [[usimamizi wa data]], kujumuisha kompyuta ili kutengeneza [[mtandao]], [[uhandisi wa hifadhidata]] na programu na vilevile usimamizi na utawala wa mfumo mzima.
Wakati kompyuta na [[teknolojia za mawasiliano]] zinapounganishwa, matokeo ni teknolojia ya habari ("infotech"). ''Teknolojia ya habari'' ni neno la jumla linaloelezea teknolojia yoyote ambayo husaidia katika kuzalisha, kuendesha, kuhifadhi, kuwasilisha, na / au kusambaza habari. Kwa makadirio, wakati tunapozungumza kuhusu teknolojia ya habari (IT) kama ujumla, ni bainisho kuwa matumizi ya kompyuta na habari yanashirikiana.
 
Wakati kompyuta na [[teknolojia za mawasiliano]] zinapounganishwa, matokeo ni teknolojia ya habari ("infotech"). ''Teknolojia ya habari'' ni neno la jumla linaloelezea teknolojia yoyote ambayo husaidia katika kuzalisha, kuendesha, kuhifadhi, kuwasilisha, na / au kusambaza habari. Kwa makadirio, wakati tunapozungumza kuhusu teknolojia ya habari (IT) kamakwa ujumla, ni bainisho kuwa matumizi ya kompyuta na habari yanashirikiana.
Katika siku za majuzi [[ABET]] na [[ACM]] zimeshirikiana kuunda [http://www.abet.org/forms.shtml#For_Computing_Programs_Only kanuni za akredishon na mitaala] ya [[shahada]] katika teknolojia ya habari kama uwanja wa masomo uliotofautiana na [[Sayansi ya kompyuta]] na pia [[mifumo ya habari]]. [http://www.sigite.org/index.php?option=com_frontpage&amp;Itemid=1 SIGITE] ni kikundi cha kazi cha ACM kilichopewa jukumu la kuweka kanuni hizi.
 
Katika siku za majuzi [[ABET]] na [[ACM]] zimeshirikiana kuunda [http://www.abet.org/forms.shtml#For_Computing_Programs_Only kanuni za akredishon na mitaala] ya [[shahada]] katika teknolojia ya habari kama uwanja wa masomo uliotofautiana na [[Sayansi ya kompyuta]] na pia [[mifumo ya habari]]. [http://www.sigite.org/index.php?option=com_frontpage&amp;Itemid=1 SIGITE] ni kikundi cha kazi cha ACM kilichopewa jukumu la kuweka kanuni hizi.
== Maoni ya Youtube ==
* https://www.youtube.com/results?search_query=TED+Swahili+Subtitle
Youtube.tz/TD swahili subtitle
 
== Pia angalia ==
* [[Ala zinazowezeshwa na mawasiliano]] (CEA)
* [[Teknolojia za habari na mawasiliano]]
* [[Habari na mawasiliano kwa ajili ya maendeleo]]
* [[Habari na mawasiliano katika elimu]]
* [[Habari na mawasiliano katika uimarisho mazingira endelevu.]]
* [[Orodha ya teknolojia ya habari zinazojitokeza]]
* [[Umati wa teknolojia ya habari]]
 
== Marejeo ==
Line 33 ⟶ 27:
==Viungo vya nje==
{{Lango|Africa}}
* https://www.youtube.com/results?search_query=TED+Swahili+Subtitle Youtube.tz/TD Maoni ya Youtube
 
[[Jamii:Teknolojia]]