Wahaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Example: shule ya utawa
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 8:
Tofauti kati ya vijikabila zinatambulika kutokana na mabadiliko madogo madogo tu ya maneno na pia [[lafudhi]] ya Kihaya ya hiyo sehemu, [[chakula]], [[ngoma za asili]], majina ya asili.
 
Mfano: [[Kiazi kitamu|Viazi vitamu]] (Kiswahili) = ebitakuli (Kiziba) = enfuma (Kihamba, Kiyoza na Kinyaihangilo )
 
Wahaya ni maarufu kwa [[uzalishaji]] wa [[ndizi]] na [[kahawa]]. Ni kabila ambalo hupenda sifa, kujisifu na kusifiwa. Pia kabila hilo halitasahaulika kwa jinsi walivyopata shida [[mwaka]] [[1978]] kutokana na [[vita vya Kagera]].
 
Mstari 18:
Ndiyo maana maeneo hayo ya Kagera elimu ni ya juu kwa wakazi wake na huduma za [[afya]] kuliko mikoa jirani. Na [[kilimo]] cha [[kahawa]] kiliwapa wenyeji fedha za kujenga [[nyumba]] bora na kupeleka watoto wao kwenye elimu ya juu zaidi. Pia kulianzishwa chama cha ushirika cha [[mkoa]] ambacho kilianzisha shule za watoto wa [[wakulima]] kuwasomesha na kutoa mikopo. Eneo hilo lilizidi kurutubishwa kushinda maeneo mengine mengi ya nchi kutoa Uchagga.
 
Pia wamisionari walianzisha shule za utawa [[seminari]] na chuo cha kutoa [[Padri|mapadri]] wao wenyewe.
 
[[Waarabu]] walioleta [[Uislamu]] walikuwa wanakazania sana [[biashara]], si shughuli za [[maendeleo]] ya watu.