Wahaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Example: shule ya utawa
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 18:
Ndiyo maana maeneo hayo ya Kagera elimu ni ya juu kwa wakazi wake na huduma za [[afya]] kuliko mikoa jirani. Na [[kilimo]] cha [[kahawa]] kiliwapa wenyeji fedha za kujenga [[nyumba]] bora na kupeleka watoto wao kwenye elimu ya juu zaidi. Pia kulianzishwa chama cha ushirika cha [[mkoa]] ambacho kilianzisha shule za watoto wa [[wakulima]] kuwasomesha na kutoa mikopo. Eneo hilo lilizidi kurutubishwa kushinda maeneo mengine mengi ya nchi kutoa Uchagga.
 
Pia wamisionari walianzisha shule za [[utawa]], [[seminari]] na chuo cha kutoa [[Padri|mapadri]] wao wenyewe.
 
[[Waarabu]] walioleta [[Uislamu]] walikuwa wanakazania sana [[biashara]], si shughuli za [[maendeleo]] ya watu.