Mgagani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Ukurasa mpya
 
Mstari 10:
| oda_bila_tabaka = [[Rosids]] <small>(Mimea kama [[mwaridi]])</small>
| oda = [[Brassicales]] <small>(Mimea kama [[kabichi]])</small>
| familia = [[Cleomaceae]] <small>(Mimea iliyo na mnasaba na [[mgagani]])</small>
| jenasi = ''[[Cleome]]'' <small>(Migagani)</small>
| bingwa_wa_jenasi = [[Carolus Linnaeus|L.]]
Mstari 16:
| bingwa_wa_spishi = (L.) [[John Isaac Briquet|Briq.]]
}}
'''Migagani''', '''migange''', '''mikabili''' au '''miangani''' ni [[mmea|mimea]] ya [[jenasi]] ''[[Cleome]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] na [[oda]] [[Brassicales]] ([[kabichi]]). Mgagani wa kawaida, ''[[Cleome gynandra]]'', huliwa takriban kila mahali pa [[Afrika]] na katika mabara mengine pia. [[Mwanamke|Wanawake]] wengi wenye [[mimba]] au waliozaa hula mmea huu, kwa sababu una [[chuma]] nyingi kiasi na husaidia kuongeza [[damu]]<ref>https://www.researchgate.net/publication/284809602_Nutritional_and_medicinal_properties_of_Cleome_gynandra</ref>. [[Mboga]] ya mgagani huitwa [[magagani]].
'''Mgagani''' ni [[mboga]] itokanayo na [[mmea]] wenye [[asili]] ya [[Afrika]] [[jamii]] ya ''Cleome gynandra''. <ref>http://isradhans.blogspot.com/2018/02/mgagani-ni-mboga-kinga-tiba-sabuni.html</ref>
 
==Spishi==
Hufahamika kwa majina mbalimbali ya kiasili kama '''mkabili shemsi''' na '''mwangani mgange'''.
* ''Cleome allamanii'', [[Mgagani Maua-zambarau]]
* ''Cleome angustifolia'', [[Mgagani Maua-njano]]
* ''Cleome gynandra'', [[Mgagani wa Kawaida]], mgange, mkabili, mwangani
* ''Cleome hirta'', [[Mgagani-pori]], mwangani-pori
* ''Cleome monophylla'', [[Mgagani Majani-mazima]]
* ''Cleome rutidosperma'', [[Mgagani Maua-buluu]]
* ''Cleome scaposa'', [[Mgagani-nusujangwa]]
* ''Cleome schimperi'', [[Mgagani Maua-pinki]]
* ''Cleome viscosa'', [[Mgagani wa Asia]]
 
==Picha==
<gallery>
Cleome gynandra Blanco1.233-cropped.jpg|Mchoro wa Mgaganimgagani wa kawaida
Starr 040323-0095 Cleome gynandra.jpg|Maua
Cleome pentaphylla 9743.jpg|Majani
Starr 040323-0098 Cleome gynandra.jpg|Tumba la mbegu
Yellow Mouse Whiskers (Cleome angustifolia) (6875329374).jpg|Mgagani maua-njano
Cleome rutidosperma(1).jpg|Mgagani maua-buluu
Yellow Spider Flower Cleome viscosa.jpg|Mgagani wa Asia
</gallery>
 
==Marejeo==
{{reflist}}
<references/>
 
==Viungo vya nje==
[http://isradhans.blogspot.com/2018/02/mgagani-ni-mboga-kinga-tiba-sabuni.html Blog kuhusu mgagani]
 
{{mbegu-mmea}}
 
[[Jamii:Kabichi na jamaa]]
[[Jamii:Mboga]]
[[Jamii:Vyakula vya asili Tanzania]]