Tofauti kati ya marekesbisho "Mfereji wa Suez"

8 bytes added ,  mwezi 1 uliopita
== Umuhimu wa mfereji wa Suez ==
[[Picha:Suez njia baharini.png|thumb|Njia za usafiri baharini kabla na baada ya kupatikana kwa Mfereji wa Suez]]
Mfereji wa Suez unafupisha umbali wa safari ya meli kati ya Ulaya na Asia kwa kilomita 8,000 hivi; kwa mfano safari baina [[Rotterdam]] (bandari kubwa ya Ulaya) na [[Dubai]] ni takriban kilomita 20,900 na siku 24 kwa njia ya kuzungka Afrika; kupitia Mfereji wa Suez ni kilomita 12,000 na siku 12 pekee.<ref>{{Cite web|url= http://www.worldshipping.org/pdf/suez-canal-presentation.pdf| title= The Suez Canal - A vital shortcut for global commerce|publisher= [[World Shipping Council]] }}</ref>
Mfereji umeharakisha na kurahisisha usafiri kati ya Ulaya, Asia na Afrika ya Mashariki. Zipatao meli 15,000 zinapita kwenye mfereji kila mwaka.