Mfereji wa Suez : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:USS Bainbridge (CGN-25) underway in the Suez Canal on 27 February 1992.jpg|thumb|250px|[[Manowari]] ikipita katika Mfereji wa Taabah Rafah Straights.]]
[[Picha:SuezCanal-EO.JPG|thumb|250px|Mfereji wa Suez kutoka angani kati ya [[Mediteranea]] (juu) na [[Bahari ya Shamu]] (chini).]]
'''Mfereji wa Suez''' (kwa [[Kiarabu]]: قناة السويس, ''qanā as-suways'') ni [[mfereji]]
▲'''Mfereji wa Suez''' ([[Kiarabu]]: قناة السويس, ''qanā as-suways'') ni mfereji mubwa nchini [[Misri]].
== Mahali pake ==
Unaunganisha [[Bahari ya Mediteranea]] na [[Bahari ya Shamu]], hivyo na [[Bahari Hindi]] pia.
Mfereji uko upande wa
Unaanza [[Mji|mjini]] [[Port Said]] (''Būr Sa'īd'') upande wa [[Mediteranea]] na kuishia mjini [[Suez]] (''al-Suways'') upande wa Bahari ya Shamu.
== Historia ==
Kuna mifereji mbalimbali iliyotangulia
Tangu kupatikana kwa [[meli]]
Meli ya kwanza
== Umuhimu wa mfereji wa Suez ==
[[Picha:Suez njia baharini.png|thumb|Njia za usafiri baharini kabla na baada ya kupatikana kwa Mfereji wa Suez]]
Mfereji wa Suez unafupisha [[umbali]] wa [[safari]] ya meli kati ya Ulaya na Asia kwa kilomita 8,000 hivi; kwa mfano safari baina ya [[Rotterdam]] ([[bandari]] kubwa ya Ulaya) na [[Dubai]] ni takriban kilomita 20,900 na [[siku]] 24 kwa njia ya
Mfereji umeharakisha na kurahisisha usafiri kati ya Ulaya, Asia na [[Afrika ya Mashariki]]. Zipatao meli 15,000 zinapita kwenye mfereji kila [[mwaka]].
Mafanikio ya mfereji wa Suez yalihamasisha mianzo ya [[Mfereji wa Panama]].
== Kutaifishwa kwa mfereji 1956 ==
Mfereji ulikuwa [[mali]] ya Compagnie universelle du canal maritime de Suez au
Mwaka [[1956]] serikali ya Misri chini ya [[rais]] [[Gamal Abdel Nasser]] ilitaifisha mfereji na tendo
[[Jamii:Jiografia]]
|