Afande : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Afande''' ni [[jina]] la [[heshima]] ambalo [[mwanajeshi]] au [[askari]] yeyote anamwita mkubwa wake. Inalingana na [[neno]] la [[Kiingereza]] "Sir" iliyokuwalililokuwa la kawaida katika [[jeshi]] wakati wa [[ukoloni]] wa Kiingereza.
 
== Afande - effendi ==
[[Asili]] ya neno "afande" ni [[cheo]] cha [[effendi]] lililokuwakilichokuwa cheo cha [[Afisa|maafisa]] katika jeshi la [[Uturuki]]. Cheo hikihicho kilifika [[Afrika ya Mashariki]] kupitia askari [[Wasudani]] waliowahi kuhudumia katika jeshi la [[Misri]] katika [[karne ya 19]]; Misri ilikuwa rasmi sehemu rasmi ya [[Milki ya Osmani]] (ingawa ilijitegemea na kuwa chini ya athira ya [[Uingereza]]) ikatumia vyeo vya Kituruki katika jeshi lake.
 
== Asili katika majeshi ya kikoloni ==
[[Wajerumani]] walipoanzisha jeshi lao la kikoloni kwenye [[mwaka]] [[1889]] waliajiri askari [[Sudan|Wasudani]] walioachishwa<ref>Waingereza pamoja na Misri walipiganiawalipiga vita dhidi ya [[Dola la Mahdi]]; baada ya kushindwa pale Khartoum walipunguza vikosi vya askari Wasudani; Wajerumani waliwaajiri hao wanajeshi walioachishwa. </ref> kutoka jeshi la [[Misri]] na kuwapeleka Afrika ya Mashariki walipokandamiza [[Vita ya Abushiri|upinzani wa Abushiri]] na watu wa [[pwani]] dhidi ya Wajerumani. Hao maaskariaskari Wasudani waliendelea na vyeo walivyozoea, kama "[[shaush]]" (kwa [[koplo]]) na [[effendi]] kwa afisa. Effendi ilikuwa cheo cha afisa asiye mzungu[[Mzungu]] katika jeshi la [[Schutztruppe|Schutztruppe ya Afrika ya Mashariki]]<ref>[http://www.ub.bildarchiv-dkg.uni-frankfurt.de/Bildprojekt/Lexikon/php/suche_db.php?suchname=Effendi Effendi], makala katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]], 1920</ref>. Pia Waingereza walichukua askari Wasudani kwa ajili ya jeshi lao katika [[Kenya]] wakatumia "effendi" kwa ajili ya [[Waafrika]] waliopewa cheo cha afisa.
 
==Marejeo==