Amato wa Habend : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Sanamu ya Mt. Amato ya karne ya 17.]] '''Amato wa Habend''' (Grenoble, leo nchini Ufaransa, 565 h...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Remiremont-Saint Amé (1).jpg|thumb|[[Sanamu]] ya Mt. Amato ya [[karne ya 17]].]]
'''Amato wa Habend''' ([[Grenoble]], leo nchini [[Ufaransa]], [[565]] hivi - [[13 Septemba]] [[628]] hivi) alikuwa [[mmonaki]] [[padri]] [[mwanzilishi|aliyeanzisha]] [[monasteri]] mbili huko [[Hamend]] lakini, aliishikabla piana baada ya hapo, aliishi miaka kadhaa kwa [[toba]] kali [[Mkaapweke|upwekeni]]<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/70150</ref>.
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]].