Papa Leo IX : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Pope Leo IX.jpg|thumb|right|Mt. Leo IX.]]
'''Papa Leo IX''' ([[21 Juni]] [[1002]] – [[19 Aprili]] [[1054]]) alikuwa [[papaPapa]] kuanzia [[tarehe]] [[12 Februari]] [[1049]] hadi [[kifo]] chake. [[Jina]] lake la kuzaliwa lilikuwa '''Bruno wa Eguisheim-Dagsburg'''.
 
Alimfuata [[Papa Damaso II]] akafuatwa na [[Papa Viktor II]].
 
Alitangazwa na [[Papa Gregori VII]] kuwa [[mtakatifu]] mwaka [[1082]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake.
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
Kweli ni papa bora kutoka [[Ujerumani]] katika [[Karne za Kati]], ingawa wakati wake lilitokea [[farakano]] na [[Kanisa la Kigiriki]].
 
Kweli nialikuwa papaPapa bora kutoka [[Ujerumani]] katika [[Karne za Kati]], ingawa wakati wa [[utawala]] wake lilitokea [[farakano]] na [[Kanisa la Kigiriki]] ([[Farakano la mwaka 1054]]).
 
==Tazama pia==
Line 13 ⟶ 15:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Vyanzo==
Line 21 ⟶ 26:
== Viungo vya nje ==
*[http://www.newadvent.org/cathen/09160c.htm Papa Leo IX katika ''Kamusi Elezo ya Kikatoliki'']
 
{{Mbegu-Papa}}
{{Mapapa}}
{{Mbegu-Papa}}
{{DEFAULTSORT:Leo IX}}
 
[[Jamii:Papa]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1002]]