Visiwa vya Shetland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
'''Shetland''' (au '''Visiwa vya Shetland''') ni [[funguvisiwa]] upande wa [[kaskazini]] ya [[Uskoti]] (Scotland). Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti.
[[Visiwa]] vya Shetland viko [[Bahari|baharini]] kati ya [[Visiwa vya Faroe]] na [[Visiwa vya Orkney]]. Kwa jumla kuna visiwa 100 na kati yake 16 vinakaliwa na [[watu]] 2322,510920<ref>[https://web.archive.org/web/20141129014443/http://www.gro-scotland.gov.uk/files2/stats/population-estimates/mid2012/mid-2011-2012-pop-est.pdf Makadirio ya mwaka 2012]2019.</ref>.
 
Funguvisiwa hiihili ikoliko mpakani kati ya [[Bahari Atlantiki]] upande wa [[magharibi]] na [[Bahari ya Kaskazini]] upande wa [[mashariki]].
 
==Eneo==
Visiwa vikubwa zaidi huitwa Mainland, [[Yell]], [[Unst]], [[Fetlar]], [[Whalsay]] na [[Bressay]].

[[Tabianchi]] ni [[nusu aktiki]] na si [[baridi]] sana kutokana na athira ya [[mkondo wa ghuba]].
Eneo la nchi kavu ni [[km²]] 1,426 na [[theluthi]] [[mbili]] zake ni eneo la [[kisiwa cha Mainland]]. [[Makao makuu]] ya [[utawala]] na [[mji]] mkubwa ni [[Lerwick]]. Mji wa pili inaitwa [[Scalloway]] na hii ni pia [[kitovu]] cha [[Historia|kihistoria]].
Line 15 ⟶ 17:
 
==Uchumi==
[[Uchumi]] wa visiwa unategemea [[uvuvi]], [[kilimo]] na hasa [[ufugaji]] wa [[kondoo]].
 
[[Mwaka]] [[1969]] [[mafuta ya petroli]] yaligunduliwa yakawa chanzo kipya cha mapato.
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[Category:Uskoti| ]]
[[Jamii:_VisiwaVisiwa vya Atlantiki]]