Visiwa vya Shetland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Shetland''' (au '''Visiwa vya Shetland''') ni [[funguvisiwa]] upande wa [[kaskazini]] ya [[Uskoti]] (Scotland). Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti.
[[Visiwa]] vya Shetland viko [[Bahari|baharini]] kati ya [[Visiwa vya Faroe]] na [[Visiwa vya Orkney]]. KwaVisiwa jumlavikubwa kunazaidi visiwahuitwa 100Mainland, na kati yake 16 vinakaliwa na[[Yell]], [[watuUnst]], 22[[Fetlar]],920<ref>Makadirio ya[[Whalsay]] mwakana 2019.</ref>[[Bressay]].
 
Kwa jumla kuna visiwa 100 na kati yake 16 vinakaliwa na [[watu]] 22,920<ref>Makadirio ya mwaka 2019.</ref>. Wengi wana [[asili]] ya Uskoti. Karibu [[nusu]] ni [[Wakristo]], hasa [[Waprotestanti]]. Wengine wengi hawana [[dini]] yoyote.
Funguvisiwa hili liko mpakani kati ya [[Bahari Atlantiki]] upande wa [[magharibi]] na [[Bahari ya Kaskazini]] upande wa [[mashariki]].
 
Eneo la nchi kavu ni [[km²]] 1,426 na [[theluthi]] [[mbili]] zake ni eneo la [[kisiwa cha Mainland]]. [[Makao makuu]] ya [[utawala]] na [[mji]] mkubwa ni [[Lerwick]]. Mji wa pili inaitwaunaitwa [[Scalloway]] na hiinao ni pia [[kitovu]] cha [[Historia|kihistoria]].
 
==Eneo==
Funguvisiwa hili liko mpakani kati ya [[Bahari Atlantiki]] upande wa [[magharibi]] na [[Bahari ya Kaskazini]] upande wa [[mashariki]].
Visiwa vikubwa zaidi huitwa Mainland, [[Yell]], [[Unst]], [[Fetlar]], [[Whalsay]] na [[Bressay]].
Eneo la nchi kavu ni [[km²]] 1,426 na [[theluthi]] [[mbili]] zake ni eneo la [[kisiwa cha Mainland]].
 
[[Tabianchi]] ni [[nusu aktiki]] na si [[baridi]] sana kutokana na athira ya [[mkondo wa ghuba]].
Eneo la nchi kavu ni [[km²]] 1,426 na [[theluthi]] [[mbili]] zake ni eneo la [[kisiwa cha Mainland]]. [[Makao makuu]] ya [[utawala]] na [[mji]] mkubwa ni [[Lerwick]]. Mji wa pili inaitwa [[Scalloway]] na hii ni pia [[kitovu]] cha [[Historia|kihistoria]].
 
Mwinuko wa juu ni [[kilima]] cha [[Ronas Hill]] chenye [[kimo]] cha [[mita]] 449 juu ya [[usawa wa bahari]].