Papa Alexander VI : Tofauti kati ya masahihisho

4 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
(→‎Maisha: +img)
No edit summary
[[Picha:Alexander VI - Pinturicchio detail.jpg|thumb|right|Papa Aleksanda VI akisali alivyochorwa na [[Pinturicchio]].]]
'''Papa Alexander VI''' ([[1 Januari]] [[1431]] – [[18 Agosti]] [[1503]]) alikuwa [[papaPapa]] kuanzia [[tarehe]] [[11 Agosti]] [[1492]] hadi [[kifo]] chake.
 
'''Papa Alexander VI''' ([[1 Januari]] [[1431]] – [[18 Agosti]] [[1503]]) alikuwa [[papa]] kuanzia tarehe [[11 Agosti]] [[1492]] hadi [[kifo]] chake.
 
Alimfuata [[Papa Innocent VIII]] akafuatwa na [[Papa Pius III]].
==Maisha==
[[File:Alexander - Bolla "Desiderando nui", dopo il 18 settembre 1499 - 2951587.tif|thumb|''Desiderando nui'', 1499]]
[[Jina]] lake la kuzaliwa lilikuwa ''' Roderic Llançol de Borja'''. Alikuwa papaPapa wa pili kutoka [[familia]] iliyoitwa nchini [[Italia]] '''Borgia'''. [[Papa Kalisti III]], aliyekuwa wa kwanza, alimsaidia [[mpwa]] wake Roderic kupanda [[ngazi]] ndani ya [[Kanisa]]. [[Kijana]] asiyekuwa na mafunzo yoyote wa kiroho, asiyepokea [[daraja takatifu]] ya [[upadri]] bado, alipewa [[cheo]] na mapato ya [[askofu]] mara kadhaa katika [[dayosisi]] mbalimbali.
 
Mwaka [[1456]] alipewa cheo cha [[kardinali]] na mwaka [[1458]] [[upadrisho|akapadrishwa]].
 
Alizaliana watoto na [[mke]] wake wa kando Vannozza dei Cattani akaendelea kuwaangalia na kuwatunza hata alipokuwa papaPapa. [[Arusi]] ya [[binti]] yake [[Lucrezia Borgia]] ilisheherekewa rasmi katika [[jumba]] la Kipapa la [[Vatikano]].
 
Lakini kabla hajachaguliwa kuwa papaPapa alimwacha Vannozza akaanza uhusiano na binti Giulia Farnese aliyezaa naye binti mwaka [[1492]], alipokuwa papaPapa tayari.
 
Mwanawe [[Cesare Borgia]] alipewa cheo cha askofu alipokuwa na umri wa miaka 16 na cha kardinali alipofikia miaka 18, lakini bila kupewa [[sakramenti]] ya [[daraja takatif]]u. Baadaye aliacha maisha ya Kanisa akafanywa na baba yake [[jemadari]] wa [[jeshi]] la Papa.
* http://libros.webuda.com/boletin-RAMHG-75.pdf BOLETÍN DE LA REAL ACADEMIA MATRITENSE DE HERÁLDICA Y GENEALOGÍA {{es icon}}
* [http://archive.org/details/jstor-25006264 Thirty-Two Years with Alexander VI], ''The Catholic Historical Review'', Volume 8, no. 1, April, 1922, pp. 55–58.[http://www.jstor.org/stable/25006264] [http://books.google.com/books?ei=g8ZfUdf1BYPs8gSFuoDIBA&id=qMaOfNRCq2sC&dq=%22Thirty-Two+Years+with+Alexander+VI%22&q=%22In+a+note+on+Alexander+VI+appended+to+my+translation%22#search_anchor]
{{Mapapa}}
 
{{Mbegu-Papa}}
{{Mapapa}}
{{DEFAULTSORT:Aleksanda VI}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1431]]
[[Jamii:Waliofariki 1503]]