Visiwa vya Shetland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kiungo
Mstari 3:
'''Shetland''' (au '''Visiwa vya Shetland''') ni [[funguvisiwa]] upande wa [[kaskazini]] ya [[Uskoti]] (Scotland). Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti.
[[Visiwa]] vya Shetland viko [[Bahari|baharini]] kati ya [[Visiwa vya Faroe]] na [[Visiwa vya Orkney]]. Visiwa vikubwa zaidi huitwa [[Kisiwa cha Mainland|Mainland]], [[Yell]], [[Unst]], [[Fetlar]], [[Whalsay]] na [[Bressay]].
 
Kwa jumla kuna visiwa 100 na kati yake 16 vinakaliwa na [[watu]] 22,920<ref>Makadirio ya mwaka 2019.</ref>. Wengi wana [[asili]] ya Uskoti. Karibu [[nusu]] ni [[Wakristo]], hasa [[Waprotestanti]]. Wengine wengi hawana [[dini]] yoyote.