Nyenje-miti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 28:
** [[Tettigarctinae]] <small>Distant, 1905</small>
}}
'''Nyenje-miti''' ni [[wadudu]] wa [[familia ya juu]] [[Cicadoidea]] katika [[oda]] [[Hemiptera]]. Wadudu wengine wanaoitwa [[nyenje (Grylloidea)|nyenje]] wamo katika familia ya juu [[Grylloidea]] ([[Orthoptera]]). Nyenje-miti ni wadudu wakubwa kiasi (hadi [[sm]] 7) wenye [[jicho|macho]] yaliyobaidika sana, [[kipapasio|vipapasio]] vifupi, [[bawa|mabawa]] manne kama [[kiwambo|viwambo]] na sehemu za [[kinywa]] za umbo la [[mrija]] wenye ncha kali ili kutoboa [[gome]] la [[mti|miti]]. Wanajulikana kwa s[[autisauti]] yao kubwa sana.
 
==Maelezo==