Content deleted Content added
Mstari 75:
::Kwa Marejeo usisahau kuweka chini yake msimbo wa '''<nowiki> <references/> </nowiki>''' , itahakikisha tanbihi zinaonekana mahali panapotakiwa. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 05:29, 10 Septemba 2020 (UTC)
::: Ahsante sana [[Mtumiaji:Kipala|Kipala]], nitazidi kujifunza kuboresha zaidi. '''[[Mtumiaji:Czeus25 Masele|Czeus25 Masele]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Czeus25 Masele#top|majadiliano]])''' 19:26, 10 Septemba 2020 (UTC)
 
== Uteuzi kuwa mkabidhi ==
 
Salaam!
Ulipendekezwa na kukubaliwa kupata haki za mkabidhi. Je, uko tayari kupokea uteuzi huu na kushiriki katika kazi mara kwa mara kama jinsi ilivyoelezwa katika ukurasa wa wakabidhi? Tunaomba jibu lako kwa baruapepe katika wiki hii. Tumia zana za Wikipedia kutuma barua pepe. --[[User:Muddyb|<font color="blue"><sub>''''Muddyb Mwanaharakati''''</sub></font>]]</span> <font face="Comic Sans MS">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="black"><sup>''''Longa''''</sup></font>]] 07:43, 13 Septemba 2020 (UTC)