Content deleted Content added
Tag: MassMessage delivery
Mstari 39:
Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Tanzania (Dar es Salaam) ili tuweze kujadiliana na kubadilishana mawazo, uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia na miradi mingine yake ya Wikimedia Foundation. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia '''wikitzagroup@gmail.com''', na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kuhusu miradi waliyoifanya tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao [https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_Community_User_Group_Tanzania Wikimedia Community User Group Tanzania] au pia katika Facebook kwa jila la [https://www.facebook.com/Wikimediatz/ Wikimedia Tanzania].<br><br> Ndimi [[User:AMtavangu (WMF)|Mtavangu]]19:09, 18 Aprili 2020 (UTC)
<!-- Message sent by User:AMtavangu (WMF)@metawiki using the list at https://meta.wikimedia.org/w/index.php?title=User:AMtavangu_(WMF)/Massmessaging_test&oldid=19994514 -->
 
== Uteuzi kuwa mkabidhi ==
 
Salaam!
Ulipendekezwa na kukubaliwa kupata haki za mkabidhi. Je, uko tayari kupokea uteuzi huu na kushiriki katika kazi mara kwa mara kama jinsi ilivyoelezwa katika ukurasa wa wakabidhi? Tunaomba jibu lako kwa baruapepe katika wiki hii. Tumia zana za Wikipedia kutuma barua pepe. --[[User:Muddyb|<font color="blue"><sub>''''Muddyb Mwanaharakati''''</sub></font>]]</span> <font face="Comic Sans MS">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="black"><sup>''''Longa''''</sup></font>]] 07:45, 13 Septemba 2020 (UTC)