Mkoa wa Rukwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tanzania Rukwa.png|thumb|300px|Mkoa wa Rukwa katika Tanzania]]
 
'''Rukwa''' ni moja kati ya mikoa 26 za [[Tanzania]]. Inapakana na mikoa ya [[Mkoa wa Kigoma|Kigoma]] na [[Mkoa wa Tabora|Tabora]] upande wa Kaskazini, [[mkoa wa Mbeya]] upande wa mashariki, [[Zambia]] kusini na upande wa magharibi [[Ziwa la Tanganyika]] lililo mpaka na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Kongo]] pia. Makao makuu waya mkoa ni [[Sumbawanga (mji)|Sumbawanga]].
 
Eneo la mkoa ni takriban 70,000 km². Kusini mwa mkoa liko [[ziwa la Rukwa]] ambalo ni kati maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki.