Patrice Lumumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 58:
 
===Uongozi wa MNC===
Mnamo mwezi wa Octoba, mwaka 1959, Lumumba, kama kiongozi wa chama cha MNC, alikamatwa kwa kosa la kuchochea vurugu za kupinga serikali ya kikoloni katika mji wa [[w:Stanleyville| Stanleyville]] ambapo watu takriban 30 waliuawa na yeye alihukumiwa kwenda jela kwa muda wa miezi sita. Mnamo tarehe 18 ya mwezi Januari 1960 ambayo ilikuwa siku ya majaribio na hapohapo katika siku ya kwanza ya mkutano wa wa kuzungumzia hatma ya nchi ya kidemokrasia ya Kongo itakumbukwa kwamba licha ya Lumumba kuwa jela katika kipindi hicho cha chake cha MNC kilifanikiwa kuwashawishi wananchi kwenye uchaguzi uliofanyika mwezi Decemba na kushinda katika jamhuri ya Congo. Kutokana na nguvu ya umma iliyokuwa ikifanywa na wananchi wa Congo dhidi ya kuachiliwa kwa Lumumba kutoka kila kona, aliachiliwa na kuruhusiwa kuhudhuria katika mkutano wa [[w:Brussels| Brussels]]. Mkutano huo ulifikia kilele tarehe 27, June 1960 kwa azimio la uhuru wa nchi ya Kongo na kupanga uchaguzi tarehe 30 ya mwaka huo huo wa 1960 [[w:Belgian Congo general election, 1960|Uchaguzi Mkuu wa Congo 11–25 May 1960]]. Lumumba na chama chake cha MNC walipata ushindi uliowawezesha kuunda serikali kwa tangazo la tarehe 23 June 1960 na Patrice Lumumba anapata cheo cha uwaziri mkuu akiwa na umri wa miaka 34 na [[w:Joseph Kasa-Vubu| Joseph Kasa-Vubu]] akiwa ndie Rais wake wa kwanza. Kwa mujibu wa katiba ya Congo mnamo tarehe 24 June serikali ilipitisha kura ya kijasiri ambayo iliamuliwa na baraza la maseneta kwamba tarehe 24 iwe ni siku ya ya kuadhimisha uhuru wa Congo.
 
Maadhimisho ya uhuru wa Congo kwa mara ya kwanza yalifanyika mnamo tarehe 30 June 1960 ambapo maadhimisho hayo yalihudhuriwa pia na [[w:Baudouin of Belgium|Mfarme Baudouin]]wa [[w:Ubeljiji|UbeljijiUbelgiji]] pamoja na vyombo mbalimbali vya habari kutoka nchi za nje. Lumumba alitoa hotuba yake kama Waziri mkuu katika nchi huru japo yeye alikuwa ameenguliwa katika ratiba ya shughuli hiyo.<ref name="speech">{{cite web|title = hotuba ya siku ya maadhimisho ya uhuru |mchapishaji=Africa Within|url=http://www.africawithin.com/lumumba/independence_speech.htm| accessdate=15 July 2006}}</ref> Hotuba ya Mfalme wa Ubeljiji [[w:Baudouin|Mfalme Baudouin]] alihutubia kwa kutukuza utawala wa [[w:colonialism|kikoloni]], huku akilingania fikra za mjombae ambae alikuwa mfalme wa [[w:Belgium|UbeljijiUbelgiji]] akiitwa [[w:LéopoldLeopold II ofwa BelgiumUbelgiji| Léopold wa Pili]] glossing over atrocities committed during the [[w:Congo Free State|TaifaDola huru la congoKongo]].<ref name="ac"/> Mfalme aliendelea kutoa masharti, "aliwataka kuto kufanya mabadiliko yoyote mpaka hapo wao watakapo ona kwamba wanaweza kufanya vyema, na kwamba hawakutakiwa kufanya mabadiliko yoyote yalika bidhiwa na kwamba tutaendelea kutoa ushauri. "<ref name=chukw>Kamalu, Chukwunyere. ''Kitabu cha historia ya wafrica –Africa nyeusi kutoka katika uharisia wa mwanadamu''.ukurasa wa 115</ref> Lumumba aliufahamisha umma kwamba uhuru uliotolewa na wabeljiji sio haukuja hivihivi:<ref name=chukw />
 
<blockquote>kwa uhuru huu wa Congo hata kama tunasherehekea leo na wabeljiji , nchi rafiki ambayo tupo sawa kwa sawa, hakuna mkongoman hata mmoja ambaye atasahau kwamba vita waliyipigana hatimae wakashinda wamaeshinda, kwa mapambano yaliyokuwayakiendelea, mapambano ambayo kwamba watu tulijitoa ambayo kwayo watu walikuwa tayari kwa lolote hata kumwaga damu, kwa namna kwa hakika yalikuwa mapambano maukufu na yalikuwa na mwelekeo wa kukomesha utumwa ambao ulikuwa ukiendeshwa dhidi yetu kwa nguvu.<ref name=chukw /></blockquote>