Patrice Lumumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 46:
| isbn = 9782748333435}}</ref>Alilelewa katika makuzi ya [[familia]] ya [[Kikatoliki]], alisoma katika [[shule ya msingi]] ya [[Waprotestanti]], halafu katika shule ambayo iliyomilikiwa na [[wamisionari]] wa [[Kanisa Katoliki]], na baadaye alipata mafunzo katika [[chuo]] kimoja cha [[serikali]], alijishindia kozi mbalimbali na kisha kuajiriwa, alipata kazi katika mji wa [[Stanleyville]] ambao kwa sasa unajulikana kwa jina la [[Kisangani]] ambapo alifanya kazi kama karani wa posta.
 
Baadaye alihamia ''Léopoldville'' ambao kwa sasa unajulikana kwa jina la [[Kinshasa]] alipofanya kazi ya uuzaji wa bia kwa wasafiri. Mnamo mwaka 1951 alimuoa [[w:Pauline Opangu|Pauline Opangu]]. Mwaka 1955 Lumumba alijiunga na ''Cercles des évolués'' ambazo zilikuwa klabu za Waafrika waliokuwa na elimu ya kibelgiji na kutazamiwa kuwa "walioendelea" mjini Stanleyville na baadaye alijiunga na chama cha [[w:Liberal Party (Belgium)|Liberal Party of Belgium]], ambapo alifanya kazi ya uhariri na usambazaji wa kijarida cha [[w:Liberal Party (Belgium)|Chama cha Kiliberali cha Ubeljiji]]. Na baadaye alifanya ziara ya mafunzo ya wiki tatu nchini Ubeljiji, mwaka 1956 alikamatwa na kushitakiwa kosa la ubadhilifu na kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kifungo cha nje na kisha baadaye wakili wa kibelgiji kuthibitisha kwamba Lumumba amesharejesha zile fedha aliachiliwa huru mnamo mapema mwaka 1956. Na baada ya kuachiliwa kwake alisaidiwa na kuanzisha chama chama [[w:Mouvement national congolais]] (MNC) mnamo. Mwaka 1958, alichaguliwa kuwa Rais wa chama hicho. Mnamo mwaka 1958 mwezi wa Desemba Lumumba na wenzake walikiwakilisha chama chao katika mkutano wa [[w:All-African Peoples' Conference|Baraza la watu wote wa Africa]] mjini [[Accra]], [[Ghana|Ghana]], katika mkutano huo wa Desemba wa [[w:Pan-Africanism|Pan-Africanmuungano wa Afrika]] uliokuwa chini ya Rais wa Ghana hayati [[w:Kwame Nkrumah| Kwame Nkrumah]], Lumumba ambaye alionekana kuongea lugha nyingi zikiwemo za Tetela, French, Lingala, kiswahili, na Tshiluba alijitambulisha ziai dhidi ya imani yake kwa bara la Afrika.
.<ref name=Kanyarwunga4>{{cite book
| last = Kanyarwunga