Yoshihide Suga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Yoshihide Suga cropped 3 Joint Press Announcement of the Okinawa Consolidation Plan.jpg|thumb]]
'''Yoshihide Suga''' (菅 義偉, ''Suga Yoshihide'', amezaliwa [[6 Desemba]] [[1948]]) ni [[mwanasiasa]] wa Kijapani anayehudumu kama [[rais]] wa Chama cha Kidemokrasia huria, na [[Waziri Mkuu]] mteule wa [[Japani]]. Baada ya uteuzi wake rasmi, uliopangwa kufanyika mnamo [[16 Septemba]] [[2020]], Suga atakuwa waziri mkuu mpya wa kwanza wa enzi ya Reiwa<ref>{{cite news|date=14 September 2020|title=Yoshihide Suga set to become Japan's prime minister after winning LDP election|work=[[The Japan Times]]|url=https://www.japantimes.co.jp/news/2020/09/14/national/politics-diplomacy/yoshihide-suga-japan-prime-minister/|url-status=live|accessdate=14 September 2020|archive-url=https://web.archive.org/web/20200914124720/https://www.japantimes.co.jp/news/2020/09/14/national/politics-diplomacy/yoshihide-suga-japan-prime-minister/|archive-date=14 September 2020}}</ref>.
 
Amewakilisha jimbo la uchaguzi Kanagawa 2 katika [[Baraza la Wawakilishi la Japani]] tangu [[mwaka]] [[1996]]. Alifanya [[kazi]] kama Waziri wa Mambo ya Ndani na Mawasiliano wakati wa awamu laya kwanza waya [[Shinzō Abe]] kama Waziri Mkuu kutoka [[2006]] hadi [[2007]], na kama [[Katibu Mkuu]] wa [[Baraza la Mawaziri]] wakati wa awamu laya pili waya Abe kutoka [[2012]] hadi 2020. [[Muda]] wake kama Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri ulikuwa mrefu zaidi katika [[historia]] ya Japani. Suga alitangaza kugombea kwake katika [[uchaguzi]] wa [[uongozi]] wa LDP wa 2020 kufuatia tangazo la Abe la kujiuzulu, na alizingatiwa sana kuwa kiongozi wa kumrithi Abe kama waziri mkuu, baada ya kupata [[idhini]] kutoka kwa washiriki wengi wa wapiga [[kura]] katika [[Chama cha kisiasa|chama]] kabla ya uchaguzi.
 
==Marejeo==