Wikipedia:Makala kwa ufutaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 204:
==[[Counsellorsalah]]==
Pendekezo la kufuta makala hii imepelekwa na [[mtumiaji:Praxidicae]] akitaja sababu: Cross-wiki spam. Makala iliwekwa na [[mtumiaji:Molee4real]], aliyejaribu kuipeleka pia enwiki ambako lemma imefutwa. Mtumiaji Molee4real alijaribu kuepukana na mchakato wa kufuta pale enwiki alibanwa kwa sababu makala zake kuhusu yule Salah na kampuni ya Silent Ocen zilikuwa nje ya utaratibu. Alijaribu mara kadhaa kurudishwa alikiri "my mistake was to use Wikipedia for advertisement". Hapo nashangaa kidogo akileta mambo yaleyale hapa swwiki. Naona labda mtungaji hajaribu kudanganya bali anashindwa kufanya utathmini wa vyanzo na kutumia mantiki. Chanzo cha pekee kuhusu Salah na kampuni ni "millardyo" (ambayo ni dhaifu!), mengine ni bure kabisa. Millardyo alidai aliajiri Wachina 300, ilhali Molee4real alijaribu kutuambia katika makala ya kampuni kuna wafanyakazi maelfu. Kumtangaza hapa kama mwimbaji kama ametoa wimbo moja pekee?? Inawezekana hii ni mada inayofaa kwa wikipedia lakini bila vyanzo vya kuaminika, afadhali makala zote mbili zifutwe kwa sasa hadi vyanzo vya uhakika vinapatikana. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 08:50, 14 Septemba 2020 (UTC)
 
:{{done}}--[[User:Muddyb|<font color="blue"><sub>''''Muddyb Mwanaharakati''''</sub></font>]]</span> <font face="Comic Sans MS">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="black"><sup>''''Longa''''</sup></font>]] 13:48, 15 Septemba 2020 (UTC)
 
==[[GeorDavie]] '''IMEFUTWA'''==