Davido : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d Masahihisho aliyefanya 197.210.29.89 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kaizenify Tag: Rollback |
||
Mstari 1:
{{Infobox Musical artist|thumb|Jina la kuzaliwa=
'''
Alizaliwa [[Atlanta]] na kulelewa [[Lagos]]. Davido alianza muziki akiwa kama mmoja wa waimbaji katika kikundi cha muziki kijulikanacho kama KB International. Alisomea usimamizi wa [[biashara]] katika chuo kikuu cha Oakwood. Davido alianza kupata umaarufu pale alipoachia [[nyimbo]] yake ijulikanayo kama Dami Duro ambayo ilikua ni nyimbo ya pili kutoka kwenye albamu yake kutoka katika studio yake ya kwanza iliyoitwa Omo Baba Olowo mnamo mwaka [[2012]]. Albamu hiyo ilikuwa na nyimbo sita alizozipa majina "Back When", "Ekuro", "Overseas", "All of You", "Gbon Gbon", na "Feel Alright".
|