Rayvanny : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
is an old news
d Masahihisho aliyefanya 197.210.29.89 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 41.77.222.165
Tag: Rollback
Mstari 21:
"Rayvanny" alianza kujulikana kupitia [[wimbo]] wake "[[Kwetu]]"<ref>{{Cite web|url=http://www.mtvbase.com/news/acts-to-lookout-for-in-2017/vnwv7i|title=mtv news {{!}} top african acts to lookout for in 2017 {{!}} MTV Africa|website=www.mtvbase.com|access-date=2017-10-03}}</ref> si siku nyingi sana tangu [[Harmonize]] atoe wimbo wake wa [[Bado]].
 
Baadaye Natafuta Kiki, Sugu ambayo imetolewa kama wimbo wa ziada tu hasa ukizingatia umechukua biti ya Bow Wow (What's My Name). Halafu Mbeleko, Shikwambi, Zezeta na Kijuso aliyoimba na [[Queen Darleen]], Pochi Nene aliyoimba na s2kizzy na baadaye Mwanza wimbo ambao aliimba na msanii mwenzie [https://setup.com.ng/ [Diamond Platnumz]]. Wimbo huo ulifungiwa na Baraza la Sanaa nchini Tanzania [[BASATA]] kutokana na kutokuwa na [[maadili]] mema hivyo kufanya wimbo huo kufungiwa kupigwa kwenye [[vyombo vya habari]] nchini [[Tanzania]].
 
Baada ya wimbo huo kufungiwa yeye na Diamond walitoa wimbo uitwao Tetema, wimbo ambao ulipendwa na watu wengi kuufanya kuwa na watazamaji wengi kwenye [[mitandao ya kijamii]] kwa muda mfupi sana.