Wali : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
''Kwa Wali kama cheo tazama "[[liwali]]"''
[[Image:Nasi lemak.jpg|thumb|250px|Wali kwa kuku kwenye sahani]]
'''Wali''' ni [[chakula]] kitokanacho na [[nafaka]], hasa [[mbegu]] ya [[mpunga]] inayoitwa [[mchele]
[[Neno]] "wali" hutumiwa pia kwa nafaka za [[mtama]] au [[ngano]] zikipikwa, lakini kwa kawaida [[watu]] huelewa wali wa mchele.
Wali ni kati ya vyakula muhimu zaidi [[duniani]]. Kama chakula cha watu inashindana kidunia na [[ngano]]. Hasa watu wa [[Asia ya Mashariki]] na [[Asia ya Kusini]] hutegemea wali kama chakula cha kila
Katika [[Afrika]] wali ni chakula cha pekee kwa watu wengi, isipokuwa pale ambako mpunga unalimwa. Nje ya hapo wali ni chakula cha [[sikukuu]] au cha nafasi ya pekee au ya [[tajiri|matajiri]].
Mstari 12:
==Upishi==
Kuna njia mbalimbali za kupika wali. Mara nyingi hupikwa katika [[maji]]. Wapishi hupima [[kikombe]] kimoja cha mpunga na [[Kikombe|vikombe]] viwili vya [[maji]] na kupika hadi maji yamekwisha, hapo basi wali huwa umeiva. Wengine hupendelea kuonja mara kwa mara mpaka wameridhika. Kuna pia [[sufuria]] za [[umeme]] maalum, hasa kwa upishi wa wali.
Katika nchi kama [[Hispania]] mpunga kwanza hukaangwa katika [[mafuta]] na maji huongezwa baadaye.
Watu wengine wanapendelea kutumia [[supu]] badala ya maji kwa kuongeza [[utamu]] wa wali. Wengine hutumia pia [[tui la nazi]].
Aina mbalimbali za mpunga huleta vyakula tofauti.
==Marejeo==
Line 26 ⟶ 25:
==Viungo vya nje==
*[https://foodsfromafrica.com/east-african-coconut-curry-rice/ Mapishi Afrika Mashariki ya wali wa nazi]
{{mbegu-utamaduni}}▼
▲{{mbegu}}
[[Jamii:Chakula]]
|