Fransisko Maria wa Camporosso : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Camporosso-statua san francesco maria.JPG|thumb|250px|Sanamu ya Fransisko Maria karibu na Camporosso.]]
'''Fransisko Maria wa Camporosso, [[O.F.M.Cap.]]''' ([[Camporosso]] [[1804]] - [[Genova]] [[1866]]) alikuwa [[mtawa]] [[ombaomba]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] [[Wakapuchini]] kutoka [[mkoa]] wa [[Liguria]] nchini [[Italia]].
 
Alipata umaarufu mjini [[Genova]] kwa upendo wake katika kuombaomba mitaani kwa ajili ya shirika lake na ya mafukara aliowatembelea na kuwaombea.
Mstari 6:
Hatimaye alijitoa [[mhanga]] ili [[kipindupindu]] mjini kikome ikawa hivyo.
 
Alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mwenye heri]] [[tarehe]] [[30 Juni]] [[1929]], halafu [[Papa Yohane XXIII]] akamtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[9 Desemba]] [[1962]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa tarehe [[1917 Septemba]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
==Tazama pia==