Kitabu cha Mormoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ Picha
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Book of Mormon 1830 edition reprint.jpg|100px|right|Toleo la mwaka 1930.]]
{{Ukristo}}
'''Kitabu cha Mormoni''' ni [[mwandiko]] wa [[Dini|kidini]] wa [[jumuiya]] ya [[Wamormoni]] walioitwa hivyo kufuatana na [[jina]] la [[kitabu]] hikihicho. Wenyewe huamini kuwa ni kitabu kitakatifu chenye [[neno la Mungu]].
 
[[JinaMormoni]] laanatajwa [[Mormoni]] linamtajakama [[nabii]] na [[kiongozi]] wa kidini anayetambulishwa mle kama [[mhariri]] wa kitabu. Kitabu cha Mormoni kikatolewakilitolewa [[mwaka]] [[1830]] na [[Mmarekani]] [[Joseph Smith|Joseph Smith, Mdogo]] aliyedai kuwa alitafsiri kitabu kutoka kwa [[bamba|mabamba]] ya [[dhahabu]] aliyopewa na [[malaika]] wa [[Mungu]].
 
== HistoriaHabari ndani ya Kitabu cha Mormoni ==
[[Picha:Book of Mormon Lands and Sites2.jpg|300px|left|Kitabu cha Mormoni]]
Kufuatana na [[taarifa]] za kitabu, [[watu]] walihamia kutokawalihama nchi za [[Biblia]] mara tatu kwenda [[bara]] la [[Amerika]].
 
[[Kundi]] la kwanza walikuwa Wayaredi walioondoka [[Mesopotamia]] baada ya kukwama kwa [[ujenzi]] wa [[Mnara wa Babeli]].
 
Mnamo [[mwaka]] [[600 KK]] kundi la [[Wayahudi]] walioongozwa na nabii Lehi waliondoka [[Yerusalemu]] kabla ya [[mji]] kuangamizwa na [[BabeliWababuloni]], wakajenga [[jahazi]] kubwa na kufika katika nchi mpya. Baada ya [[kifo]] cha Lehi wafuasi wa [[Mwana|wanawe]] Nefi na Lamani walianza kugombana na kuwa [[Kabila|makabila]] mawili [[adui]].
 
Wanefi walikutana baadaye na wafuasi wa Muleki aliyekuwa mwana wa [[mfalme Zedekia]] wa [[Yuda]] waliokimbia wakati wa [[anguko la Yerusalemu]] wa mwaka [[587 KK]].
Line 16 ⟶ 17:
Kitabu cha Mormoni chaendelea kueleza jinsi [[Yesu]] alivyowatembelea Wanefi baada ya [[Ufufuko wa Yesu|ufufuko wake]] na kuwapa mafundisho ya [[hotuba ya mlimani]] pamoja na [[chakula cha Bwana]].
 
Wanefi na Walamani waliungana baadaye kwa [[karne]] kadhaa na kuishi kwa [[amani]], lakini amani hiyo ikavurugika na Wanefi waliangamizwa kabisa katika [[vita]] vikali. Kabla ya mwisho wa [[taifa]], Mormoni mnamo mwaka [[400]] [[BK]] alipokea maagizo ya [[Mungu]] kukusanya [[habari]] zote na kuziandika katika mabamba ya dhahabu yaliyofichwa mahali alipoyakuta Joseph Smith.
 
== Historia au riwaya? ==
Nje ya Wamormoni habari hizihizo hutazamwa kuwa si ya [[Historia|kihistoria]]. [[Wataalamu]] wasio Wamormoni huamini ya kwamba Joseph Smith alitunga mwenyewe taarifa hizo pamoja na [[hadithi]] ya mabamba ya dhahabu. Smith mwenyewe alieleza ya kwamba alirudisha mabamba ya maandiko kwa malaika baada ya kuyatafsiri.
 
Hadi leo Kitabu cha Mormoni kimetafsiriwa katika [[lugha]] 72 za sehemu mbalimbali za [[dunia]].