Eliza Dushku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
'''Eliza Patricia Dushku''' (amezaliwa tar. 30 Desemba, 1980) ni mwigizaji wa tamthilia za TV na filamu kutoka nchini Marekani....
 
No edit summary
Mstari 17:
| tovuti =
}}
'''Eliza Patricia Dushku''' (amezaliwa tar. [[30 Desemba]], [[1980]]) ni mwigizaji wa tamthilia za [[TV]] na filamu kutoka nchini [[Marekani]]. Ameonekana katika filamu nyingi tu za [[Hollywood]], filamu hizo ni True Lies, The New Guy, Bring It On, na Wrong Turn.

Vilevile ni anafahamika zaidi kwa kushiriki katika mfululizo wa kipindi cha [[televisheni]], vipindi hivyo ni Buffy the Vampire Slayer na Angel as Faith. Pia alikuwa mwusika mkuu katika katika mfululizo wa kipindi cha [[tevisheni]], maarufu kama Tru Calling.
 
==Wasifu==