Mlimbo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 5:
[[Picha:Euphorbia cuneata ies.jpg|thumb|left|250px|Mlimbolimbo (''[[Euphorbia cuneata]]'')]]
[[Picha:Mystroxylon aethiopicum 2020-02-08 7123.jpg|thumb|250px|Mlimbolimbo (''[[Cassine aethiopica]]'']]
'''Mlimbo''', '''mrimbo''' na '''mlimbolimbo''' ni majina yanayotumika kwa [[mti|miti]], [[kichaka|vichaka]] na [[mtambaa|mitambaa]] inayotoa utomvoutomvu unaonata ([[ulimbo]] au urimbo) na unaoweza kutumiwa ili kuzalisha aina ya [[mpira (dutu)|mpira]]. Kwa sababu ya hii [[spishi]] kadhaa huitwa [[mpira]] pia.
 
Hapo awali jina mlimbo lilitumika kwa spishi kadhaa za mitambaa kama zile za [[jenasi]] ''[[Landolphia]]'' na ''[[Saba]]''. Utomvu wenye kunata wa [[mmea|mimea]] hii mara nyingi ulitumika kukamata [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo hadi wa ukubwa wastani. Ni vivyo hivyo kwa spishi fulani za ''[[Euphorbia]]'' zinazoitwa mlimbolimbo, k.m. ''[[Euphorbia cuneata|E. cuneata]]''. Walakini, ulimbo uliotengenezwa kutoka kwa mlimbolimbo mwingine, ''[[Cassine aethiopica]]", unaandaliwa kutoka kwa [[jani|majani]] yake.