Kijogoo-shamba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
Nyongeza mabingwa wa spishi
Mstari 12:
| familia_ya_juu = [[Eurylaimoidea]] (Ndege kama [[kijogoo-shamba|vijogoo-shamba]])
| familia = [[Calyptomenidae]] (Ndege walio na mnasaba na vijogoo-shamba)
| subdivision = '''Jenasi 2, spishi 6 + 1 kutoka familia nyingine:'''
* ''[[Calyptomena]]'' <small>[[Thomas Stamford Raffles|Raffles]], 1822</small><br />
** ''[[Calyptomena hosii|C. hosii]]'' <small>[[Richard Bowdler Sharpe|Sharpe]], 1892</small>
** ''[[Calyptomena viridis|C. viridis]]'' <small>Raffles, 1822</small>
** ''[[Calyptomena whiteheadi|C. whiteheadi]]'' <small>Sharpe, 1887</small>
* ''[[Smithornis]]'' <small>[[Charles Lucien Bonaparte|Bonaparte]], 1850</small>
** ''[[Smithornis capensis|S. capensis]]'' <small>([[Andrew Smith|Smith]], 1839)</small>
** ''[[Smithornis rufolateralis|S. rufolateralis]]'' <small>[[George Robert Gray|G.R. Gray]], 1864</small>
** ''[[Smithornis sharpei|S. sharpei]]'' <small>[[Boyd Alexander|Alexander]], 1903</small>
<br>
* ''[[Pseudocalyptomena]]'' ([[Eurylaimidae]]) <small>[[Lionel Walter Rothschild|Rothschild]], 1909</small>
** ''[[Pseudocalyptomena graueri|P. graueri]]'' <small>Rothschild, 1909</small>
}}
'''Vijogoo-shamba''' au '''bandabanda''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Calyptomenidae]].

Wana domo pana na [[spishi]] za [[Asia]] zina rangi kali lakini zile za [[Afrika]] ni kahawia na nyeupe zenye michirizi myeusi isipokuwa [[kijogoo-shamba kijani]] ambaye ana rangi ya majani. Ndege hawa wanatokea misitu mizito. Hula [[tunda|matunda]] na hukamata [[mdudu|wadudu]] kwa namna ya [[shore]] au [[chechele]]. Hupenda kuwa kwa makundi ya hadi kufikia ndege 20. Tago la vijogoo-shamba ni mjengo mkubwa (mpaka nusu mita) unaofungika na wenye mwingilio kwa upande wake. Limefumika kwa [[tawi|vitawi]], [[nyasi|manyasi]] na [[jani|majani]] na kufunikika kwa tando za [[buibui]], [[kigoga|vigoga]] na [[kuvumwani]]. Jike huyataga [[yai|mayai]] 1-3.
 
== Spishi za Afrika ==