Kijogoo-shamba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza mabingwa wa spishi
Masahihisho
Mstari 25:
** ''[[Pseudocalyptomena graueri|P. graueri]]'' <small>Rothschild, 1909</small>
}}
'''Vijogoo-shamba''' au '''bandabanda''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Calyptomenidae]]. Zamani ndege hawa waliainishwa katika familia [[Eurylaimidae]] lakini siku hizi inabaki spishi moja tu ndani yake, [[kijogoo-shamba kijani]].
 
Wana domo pana na [[spishi]] za [[Asia]] pamoja na kijogoo-shamba kijani zina rangi kaliya [[jani|majani]] lakini zilespishi nyingine za [[Afrika]] ni kahawia na nyeupe zenye michirizi myeusi isipokuwa [[kijogoo-shamba kijani]] ambaye ana rangi ya majani. Ndege hawa wanatokea misitu mizito. Hula [[tunda|matunda]] na hukamata [[mdudu|wadudu]] kwa namna ya [[shore]] au [[chechele]]. Hupenda kuwa kwa makundi ya hadi kufikia ndege 20. Tago la vijogoo-shamba ni mjengo mkubwa (mpaka nusu mita) unaofungika na wenye mwingilio kwa upande wake. Limefumika kwa [[tawi|vitawi]], [[nyasi|manyasi]] na [[jani|majani]] na kufunikika kwa tando za [[buibui]], [[kigoga|vigoga]] na [[kuvumwani]]. Jike huyataga [[yai|mayai]] 1-3.
 
== Spishi za Afrika ==