Majadiliano:Silent ocean (TZ) Limited : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ndugu Moses Makala inakosa vyanzo mbalimbali, sio sahihi sana kutumia tovuti ya kampuni kama chanzo cha kuandika makala juu ya kampuni h...'
 
No edit summary
Mstari 1:
Ndugu [[Mtumiaji:Molee4real|Moses]] Makala inakosa vyanzo mbalimbali, sio sahihi sana kutumia tovuti ya kampuni kama chanzo cha kuandika makala juu ya kampuni husika.
Hivyo usipojitahidi kuweka vyanzo makala inaweza kupendekezwa kufutwa. Amani! '''[[Mtumiaji:Czeus25 Masele|Czeus25 Masele]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Czeus25 Masele|majadiliano]])''' 15:33, 23 Septemba 2020 (UTC)
:Ninamshauri—kama kweli anataka kuchangia hapa, si lazima aje na makala ya Silent Ocean. Bora aandike zingine. Hii tufute. Imekaa kibiashara zaidi. Lengo lake ni nini? Kampuni ina impact gani? Kwanini iwepo humu? Maswali ni mengi. Kipi ilichofanya hata ikahitaji makala. Tumeona IPP Media kuwepo kwa sababu ya magazeti yake, TV, redio na kadhalika. Impact yake ni kubwa katika jamii. Hii ina nini? Asipojibu ndani ya masaa 48 tutaifuta tena makala hii![[User:Muddyb|<font color="blue"><sub>''''Muddyb Mwanaharakati''''</sub></font>]]</span> <font face="Comic Sans MS">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="black"><sup>''''Longa''''</sup></font>]] 09:13, 24 Septemba 2020 (UTC)
Return to "Silent ocean (TZ) Limited" page.