Jean Castex : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb '''Jean Castex''' (amezaliwa 25 Juni 1965) ni mwanasiasa Mfaransa anayehudumu kama Waziri Mkuu wa U...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 07:17, 25 Septemba 2020

Jean Castex (amezaliwa 25 Juni 1965) ni mwanasiasa Mfaransa anayehudumu kama Waziri Mkuu wa Ufaransa tangu 3 Julai 2020.

Mwanachama wa zamani wa Republican (LR), Castex aliwahi kuwa Meya wa Prades, mji wa mkoa Kusini mwa Ufaransa, kwa miaka kumi na mbili hadi kuteuliwa kwake kama Waziri Mkuu na Rais Emmanuel Macron.