Uzamivu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
[[picha:BJCroome_UCT_PhD_Graduation_2008.jpg|thumbnail|right|200pax|Muhitimu wa ngazi ya PHD huko Afrika ya Kusini akiwa katika vazi maalumu]]
'''Uzamivu''' (pia '''PhD''' ambayo ni [[kifupi]] cha [[Kilatini]] "''Philosophiae Doctor''" yaani "Daktari wa falsafaFalsafa") ni [[shahada]] ya juu kabisa katika [[elimu]].
 
Inatolewa na [[vyuo vikuu]] baada ya [[digrii ya bachelorKwanza]] na shahada ya [[uzamili]].
 
Kwa kufuata [[tabia]] za [[lugha]] nyingine, [[jina]] [[daktari]] hutumiwa pia kama [[jina la heshima]] kwa [[mtu]] aliyepata shahada ya uzamivu. Katika nchi nyingi, mtu aliyepokea shahdashahada ya uzamivu anaongeza cheo kabla ya jina lake kwa kifupi ambacho kimatifa ni "Dr.", kwa Kiswahili mara nyingi pia "DkDkt."
 
Ilikuwa [[desturi]] hadi leo kwamba mgombea wa uzamivu anaonyeshaanaonesha uwezo wake kwa kutunga [[tasnifu]] ambayo ni [[kitabu]] kamili. Siku hizi masharti ya tasnifu zinawezayanaweza kutimizwa pia kwa kutunga [[idadi]] fulani za makala zinazohitaji kupokewa na [[Jarida|majarida]] ya kitaalamu ambamo zinachunguliwa na [[wataalamu]] wengine kabla ya kupokewa na kuchapishwa.
 
Nje ya utaratibu wa kawaida kuna pia cheo cha "daktari wa heshima" ''([[:en:Honorary_degree|honorary doctorate]])''; hutolewa kwa mtu anayetazamiwa kuwa na michango mikubwa kwa maendeleo ya sayansi fulani, elimu kwa jumla au kwa taasisi ya elimu. Mara nyingi hutolewa pia kwa sababu za kisiasa. Kifupi chake kwa kawaida ni "Dr. h.c."; "h.c." ni kifupi cha Kilatini ''honoris causa'' kinachomaanisha "kwa sababu ya heshima".