Wikipedia:Kufuta makala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[wikipedia:'''Kufuta makala''' ni kazi ya Wakabidhi|Wakabidhi]]. Kila mtu anaweza kupendekeza makala kwa ufutaji na ushiriki katika majadiliano, lakini wakabidhi pekee wana mamlaka ya kufuta kurasa, majamii, na picha. Wakati mwingine, kurasa zinaweza kufutwa mara moja kufuatana na azimio la mkabidhi mmoja tu. Kwa kawaida tunaacha fuata utaratibu kwamba mmoja anapendekeza makala ifutwe, kupekeleka jina kwenye ukurasa wa [[Wikipedia:Makala kwa ufutaji]] na hapa inaweza kujadiliwa. Baada ya siku kadhaa mkabidi mwingine anaamua kuifuta au kuiacha, mara nyingi baada ya maboresho.