Tofauti kati ya marekesbisho "Tashihisi"

fomati
d (Protected "Tashihisi" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)))
(fomati)
 
'''Tashihisi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]] "(''personification"'') ni [[tamathali]] ya [[usemi]] inayokipa [[kitu]] [[sifa]] ya [[uhai]] ambayo hakina ili kionekane kusema na kutenda kama [[kiumbehai]].
 
[[Usanii]] huo unaweza kupendezesha [[sentensi]], [[mazungumzo]] na [[maandishi]] na kuvifanya viwe [[fasihi]].