Mwanamitindo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wikidata interwiki
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Gisele Bündchen at the Fashion Rio Inverno 2006.jpg|thumb|right|thumb|Mwanamitindo [[Gisele Bündchen]] akitembea kwa mtindo wa [[:en:catwalk]]. ([[Gisele Bündchen]])]]
[[Picha:ModelsCatwalk.jpg|thumb|right|Mwanamitindo akitembea kwa mtindo wa [[:en:catwalk]]]]''.
'''Mwanamitindo''' ni [[mtu]] mwenye [[kazi]] ya mkao, au kuonesha kazi za [[sanaa]] au maonyesho ya [[mavazi]], kikawaidakwa kawaida hutafuta [[soko]] kwa ajili ya [[bidhaa]]. Mara kwa mara hutumiwa kwenye matangazo ya [[televisheni]] na [[vyombo vya habari]] vya [[uchapishaji]], kwa mfano [[magazeti]] na [[jarida|majarida]].
 
== Aina za wanamitindo ==
Kuna aina chungumzima za wanamitindo. Baadhi yao hutumia sehemu fulani tu za [[miili]] tuyao. Kwa mfano, ''mwanamitindo wa mkono'' ni mtu ambaye hutumia [[mikono]] yake tu kufanyia shughuli za kiuanamitindo. Mwanamitindo wa mkono hutumika kuoneshea bidhaa fulani, kwa mfano [[pete]] au [[saa]]. Wanamitindo wa aina hii kawaida hutumiwa kwa ajili ya matangazo tu, basi.
Wanamitindo wa [[fasheni]] hutumiwa kwa kuuza mavazi au [[vipodozi]]. Watu wanaotengeneza [[nguo]] hutumia wanamitindo wa mavazi kuvaa nguo zao na kuoneshea kwenye [[maonyesho ya mavazi]]. Wanamitindo hao watatembea juu na chini wakionesha mavazi yao [[Sakafu|sakafuni]] panapoitwa [[:en:catwalk]] au ''runway'' kuonyesha nguo hizo kwa watu wengine.
 
Wanamitindo wa sanaa hukodishwa na [[mpigapicha|wapiga picha]], [[wachoraji]] na [[wasanii]] wengine kwa ajili ya mkao ili kutengeneza sanaa zao.
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Models (people)|{{PAGENAME}}}}
 
{{mbegu-utamaduni}}