Rukwa (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
Ziwa liko kwa kimo cha mita 800 juu ya UB katika bonde ambalo ni mkono wa [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]]. Bonde hili ni sehemu ya kusini ya mkono wa magharibi wa bonde hili na mikono yote miwili inaungana huko Mbeya kabla ya kuendelea kwa pamoja katika Ziwa Nyasa.
 
Beseni ya ziwa line eneo la takriban 80,000 [[km²]]. Urefu na upana wake hubadilikabadilika kulingana na kiasi cha mvua inayonyesha. Kati ya mito inayoingia ni mto wa [[songwe (mto)|Songwe]] pekee ulio na maji muda wote. Kuna taarifa ya kwamba ziwa lilipotea wakati mwingine isipokuwa beseni ndogo upande wa kusini SongeweSongwe inapoingia hubaki na maji. Kama maji ni mengi ziwa lina urefu wa kilomita 180.
 
<ref>[http://concise.britannica.com/ebc/article-9377298/Lake-Rukwa Britannica.com: Lake Rukwa]</ref>.