Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Bamba la Afrika-Mashariki.PNG|thumb|300px|<small>Ramani ya Afrika ya Mashariki inayoonyesha volkeno kadhaa (pembetatu nyekundu) na pembetatu ya Afar - eneo la kuachana kwa bamba la Uarabuni na bamba la Afrika linalojipasua hapa kuwa bamba la Afrika ya Kinubia na la Afrika ya kisomalia.</small>]]
'''Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki''' ([[Kiing.]] '''Great Rift Valley''') ni maumbile ya kijiolojia inayoanza katika Mashariki ya Kati na kuendelea hata Msumbiji. Ni kati ya maajabu makubwa ya dunia hii. Ufa hii imetokea tangu miaka milioni 35 kutokana na mwendo wa [[mabamba ya gandunia]] ya [[Bamba la Afrika |Afrika]] na [[Bamba la Uarabuni|Uarabuni]]. Mwendo huu umesababisha pia farakano ndani ya bamba la Afrika na wataalamu huamini kuwa Afrika ya Mashariki iko katika mwendo wa kuachana na Afrika kwa jumla.