Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Bamba la Afrika-Mashariki.PNG|thumb|300px350px|<small>Ramani ya Afrika ya Mashariki inayoonyesha volkeno kadhaa (pembetatu nyekundu) na pembetatu ya Afar - eneo la kuachana kwa bamba la Uarabuni na bamba la Afrika linalojipasua hapa kuwa bamba la Afrika ya Kinubia na la Afrika ya kisomalia.</small>]]
'''Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki''' ([[Kiing.]] '''Great Rift Valley''') ni maumbile ya kijiolojia inayoanza katika Mashariki ya Kati na kuendelea hata Msumbiji. Ni kati ya maajabu makubwa ya dunia hii. Ufa hii imetokea tangu miaka milioni 35 kutokana na mwendo wa [[mabamba ya gandunia]] ya [[Bamba la Afrika |Afrika]] na [[Bamba la Uarabuni|Uarabuni]]. Mwendo huu umesababisha pia farakano ndani ya bamba la Afrika na wataalamu huamini kuwa Afrika ya Mashariki iko katika mwendo wa kuachana na Afrika kwa jumla.
 
Mstari 18:
Mkono mkuu umepasua nyanda za juu za Ethiopia na nyanda za juu za Somalia ukielekea kusini. [[Mto Awash]] unafuata sehemu ya kaskazini ya bonde hili. Katika sehemu ya kusini kuna maziwa kama [[ziwa Abaya]].
 
===SehemuKugawanyika yakatika Kenya===
Mpakani wa Ethiopia na Kenya bonde la ufa lajigawa kuwa na mikono miwili.
 
====Mkono wa mashariki====
Mkono wa mashariki unaonekana katika [[Ziwa Turkana]] na kuelekea kusini. Karibu na Nairobi unatokea kama bonde kubwa lenye kina kikubwa. Maziwa mengine ni maziwa kama Baringo, Bogoria, Elementaita, [[ziwa Nakuru|Nakuru]] na [[ziwa Naivasha|Naivasha]].
 
Mpakani na Tanzania kuna maziwa ya magadi kama Lake Natron. Ndani ya Tanzania baada ya kupita [[mlima Kilimanjaro]] bonde lapanuka hadi kutotambulika tena kwa macho. Kwenye [[uwanja wa Usangu]] linaonekana tena kama bonde lenye safu za milima kando. Mjini [[Mbeya]] mkono huu unakutana tena na mkono wa mashariki na kuendelea pamoja katika [[ziwa Nyasa]].
 
====Mkono wa magharibi===
Mkono wa magharibi huonekana vizuri kuanzia [[ziwa Albert]] na kuendelea katika maziwa ya [[ziwa Edward|Edward]], [[ziwa Kivu|Kivu]], [[ziwa Tanganyika|Tanganyika]] na [[ziwa Rukwa|Rukwa]]. Mbeya unakutana na mkono wa mashariki.
 
Kando la ufa kuna milima ya juu yenye asili ya ki[[volkeno]] kama vile safu za [[milima ya Virunga|Virunga]], [[milima ya Mitumba|Mitumba]] na [[milima ya Ruwenzori|Ruwenzori]].
 
===Sehemu ya Kusini===
Kusini ya Mbeya ufa inaendelea katika [[Ziwa Nyasa]] halafu katika mabonde ya [[mto Shire]] na sehemu ya mwisho wa [[mto Zambezi]] hadi kuingia katika [[Bahari Hindi]].
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.infoplease.com/ce6/world/A0821681.html Geographical description] (englisch)
*[http://anthro.palomar.edu/hominid/images/map_of_great_rift_valley.gif Small simple-coloured map]
* [http://www.riannek.de/spip.php?article111 Geologie des Ostafrikanischen Grabens]
*[http://www.albertinerift.org/arift-protectedareas Maps from the Albertine Rift Programme]
 
 
 
[[Category:Gandunia]]