Ombwe : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 159.86.182.38 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 159.86.182.37 Tag: Rollback |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Ombwe''' (kwa [[Kiingereza]], na [[lugha]] nyingi za [[dunia]], [[neno]] la [[Kilatini]] "vacuum" hutumiwa) kwa maana ya [[sayansi]] ni hali pasipo na [[kitu]], nafasi pasipo na [[mata]]. Neno hutumiwa hasa kwa hali pasipo [[gesi]] au [[angahewa]].
Hali halisi si rahisi kupata mahali duniani pasipo kitu chochote kabisa. Mara nyingi [[anga la nje|anga-nje]] la [[ardhi]] yetu huitwa "ombwe". Lakini hata katika ombwe hii kuna mata kidogo. Kwa hiyo "ombwe" mara nyingi ni hali ambapo kiasi cha gesi au hewa kimepungua sana ndani ya chombo na hapa kuna matumizi ya kiuchumi kwa mfano kutunza [[vyakula]] ndani ya mifuko ambako [[hewa]] nyingi imetolewa nje na hivyo vyakula vinadumu [[muda]] mrefu zaidi kwa sababu ya uhaba wa [[oksijeni]] ndani ya mfuko.
== Marejeo ==
* [http://www.vakuum-bohemia.cz/vacuum_pumps.php Industrial vacuum information]
{{mbegu-sayansi}}
|